ZIARA YA ASKOFU MKUU WA KANISA LA AGAPE WUEMA TANZANIA, MARTIN WILSON GWILA WILAYANI HANAN'G MKOANI MANYARA TAREHE 21.10.2016


Askofu mkuu wa kanisa la AGAPE Tanzania, Martin Wilson  Gwila akiwaombea wachungaji wa kanisa la Agape Mkoa wa Manyara wilayani Hanan'g  mara baada ya kuwasimika tarehe 21.10.2016, ambapo baba Askofu Gwila alisema kila kiongozi ana wajibu wa kujitambulisha kwamba yeye ni muumini wa Agape Wuema na sio Kujinenea kwa majina ya mtaani.

Askofu mkuu wa kanisa la Agape Wuema Tanzania, Martin Wilson Gwila{Wa pili kushoto} mke wake Agnes Martin {wa kwanza kushoto}, Askofu mkuu wa Manyara Ibrahimu {wa pili kulia} na mke wake joyce Ibrahimu, wakiimba wimbo wa kuabudu katika kanisa la Agape Wuema Mkoani Manyara baada ya kuwasili wilayani Hanan'g kwa lengo la kuwasimika viongozi wa Kanisa.




 Waumini wa kanisa la Agape Wuema wilayani Hanan'g  mkoani Manyara wakiabubu, ambapo walihudhuria zaidi ya waumini 200. 




Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment