mkuu wa mkoa wa morogoro Aipokea Agape kwa mikono miwili


ila
msafara wa Askofu mkuu wa Agape hofisi ya mkuu wa mkoa wa  Morogoro
Askofu mkuu wa Kanisa na  Taasisi ya Agape wuema  Baba Wllison martin Gwila  Amshukuru mkuu wa mkoa wa Morogoro kwa  Taasisi ya Agape Wuema kupewa ushirikiano mzuri na serkali kupata maeneo ya kuwekeza miradi ya Viwanda vya kusindika nyanya na nyama , Shuleya msingi hadi kidato cha sita kijijini katika kijiji cha New land Pamoja na mashamba kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji wilayani kilosa Ziara ya Askofu gwila ilikua na zumni la kuhakiki maeneo ya Agape Wuema waliopewa na serkali mkoanihumo ambako wamepewa hekari zaidi ya 40 kata ya new land,ziara ya Askofu Gwila ilisindikizwa na viongozi wa Taifa na wa mkoa wa Taasisi hiyo morogoro .Ugeni wao ulipokelewa kwa Furaha kubwa sana kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro kutokana na maelezo aliyoyatoa  Baba askofu kuhusu ongezeko la uchumi baada ya ujezi kukamilika
Askofu mkuu akiandika jina lake kwenye Daftari la  Wageni kwa mkuu wa mkoa wa morogoro 
Upande wa kulia ni Askofu mkuu wa AgapeTanzani Aliye Vaa suti ya Blue na pembeni yake ni Askofu Sulutia wa mkoa wa morogoro ,upande wa kushoto ni Mkurugenzi wa Ardhi Agape wuema mwenye shati la kijivu akiwa pamoja na mhandisi wa  kilimo cha umwagiliaji Serkalini  kutoka mkoa wa morogoro

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment