UTEUZI WA VIONGOZI WAPYA MKOA WA PWANI


Uteuzi wa viongozi ulifanyika katika  kanisa la Agape wuema sanctuary ministries Wilayani  kibaha mkoani pwani Ulisimamiwa na Baba Askofu mkuu wa kanisa La  Agape  Wuema  Askofu willison martini Gwila  Akiwa na Mke wake  Mama Agnes martin Gwila pamoja na viongozi wa kitaifa wa kanisa hilo,Baba Askofu alisema Ni vizuri kila kiongozi Anaye chaguliwa Angalau awe na uwezo wa  kusoma na kuandika  mchungaji au Askofu mwenye  kundi la angalau kwenye kanisa waumini 20. Vile vile Alisema suala la watu kuchagua kiongozi kwa kuangalia kabila  lisiwepo kwenye uchaguzi huo.uteuzi huo ulihusisha ugeni wa wilaya tofauti tofauti na mikoa tofauti kama Arusha Dar es salaam pamoja morogoro  ambako walihuzuria vingozi 300 wakiwemo wachungaji wahasibu na makatibu wa wilaya mbalimbali mkoani hapo

VIONGOZI WAPYA WA AGAPE WUEMA MKOA WA PWANI

Pichani ni  waumini waliohuzuria kanisani humo
Share on Google Plus

About Unknown

1 comments:

  1. Casino Rewards Program: How We Pay to Play, Casino
    Casino rewards program: How we Pay to Play, Casino Rewards, Casino Loyalty Program, 벳365코리아 and more. 1xbet korea With 스코어 사이트 a casino 마이크로 게이밍 loyalty program, there 인디언 포커 is no

    ReplyDelete