Mh; Mzindakaya atoa hekari 160 kwa taasisi ya Agape (WUEMA) ministries international limited kwa ajili ya mradi wa shule ya secodary.





Tunapopima maendeleo ya jimbo la kwela, tukilinganisha na muda aliotumika bungeni, ingawa kwa vipindi vichache, tangu wakati ule likiwa ni sehemu ya jimbo la Sumbawanga vijijini, hatuoni jambo lolote la mfano ambalo tunaweza kuzipongeza jitihada zake.

Lakini kwasasa Dr.Chrisant Majiyatanga Mzindakaya ametoa hekari 160 kwa taasisi ya Agape Wuema Ministies International Limited alipo kutana na Rais wa taasisi hiyo baba Askofu mkuu wa Tanzania Askofu Willson Martin Gwila kwaajili ya mradi wa shule ya secondary mkoani hapo.

Askofu mkuu wa Tanzania Askofu Willson Martin Gwila ambaye pia ni Askofu msaidizi wa Afrika mashariki wa tasisi na kanisa  la Agape (WUEMA) Ministries alifanya ziara katika mikoa mbalimbali ikiwemo Songwe Serkali imetoa hekari 5,000 kwajili ya kilimo cha umwagiliaji. Rukwa Serkali imetoa hekari 150 kwaajili ya ujenzi wa hospital. Songea wilaya momba hekari 35












Share on Google Plus

About Unknown

1 comments: