SERIKALI YA SINGIDA IMETOA ZAIDI YA HEKARI 130 KWA SHIRIKA LA AGAPE WUEMA

PICHA YA PAMOJA YA VIONGOZI WA SERIKALI NA VIONGOZI WA KANISA NA TAASISI YA AGAPE
Serkali ya singida imetoa zaidi ya hekari 130 kwa shirika la agape wuema ministries international kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali kama kujenga viwanda,shule,nyumba za ibada na Hospitali ya mkoa .Akiongea na viongozi wakata na  kijiji cha mwankoko mkoani singida askofu mkuu wa kanisa na taasisi hiyo nchini  Tanzania Willison Martin gwila amesema imefika wakati tanzania kufurahia huduma za wahisani kutokana na sera ya rais wa jamhuri ya mungano wa Tanzania Dkt Pombe josephu magufuli ya hapa kazi tuu .
Askofu mkuu willison martin akiandika jina lake kwenye kitabu cha wageni ofisi ya kata ya mwankoko

kwenye picha upande wa kushoto ni katibu mkuu afrika,wa katikati ni akofu mkuu tanzaniana watatu kulia ni askofu mkuu Afrika mashariki na wa mwisho kulia ni askofuu mkuu mkoa wa singida

msafara uliongozwa na mwenyeji wao askofu  mkuu wa singida Bw.mtatuu kwenda na kutazama maeneo walio patiwa na serkali ya mkoa wa singida kata ya mwankoko kijiji cha mwankoko mtaa wa isomia tar.28 .8.2016
picha wakiwa wanakagua eneo waliopewa singida

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment