Agape Ministries International Kisiwa cha ukombozi Wa Afrika kuanzia 2016-2017..............

Apostal Joel  Engle aliye Vaa Vazi la Kadarasi watatu kutoka upande wa kushoto Akiwa pamoja na viongozi wa Taasisi Ya  Agape Ministries International  Bara La Afrika  Baada ya kuzindua Miradi ya ujenzi  Ya Kanisa na Taasisi hiyo,  Katika Ukumbi wa  Africa International Conference Center (A.I.C.C) Tar 18/12/2016  ,Hapo nyuma ya Viongozi ni Bango Lenye  Picha Za Aina Ya Majengo Yanayo Ksudiwa Kujengwa   Na Taasisi hiyo hapa AfricaMashariki.
Askofu mkuu wa Agape Ministries International  Bara La Afrika Askofu Bwambale Wilson  Aliye nyoosha mkono juu Akihutubia Mkutano wa Kimataifa Baada ya Uzinduzi Wa Miradi ya Ujenzi Africa Mashariki  Akiwa Pamoja na ,Askofu wa Africa Mashariki Kaduyu Frank  Aliye Valia Sare Nyeupe ,Askofu Msaidizi wa  Africa mashariki  ambaye pia ni Askofu  Mkuu Wa Tanzania ,Askofu  Martin W. Gwila wa Tatu kutoka upande wa Kushoto na Kulia pamoja na mkalimaliAmbaye pia ni  Askofu Wa Mkoa Wa  Bukoba Aliye Shikilia kipaza Sauti Pamoja na Mlinda Amani wakwanza kutoka kushoto  Wa Taasisi ya  Agape Ministries International wakiwa Katika Ukumbi wa  Africa International Conference Center (A.I.C.C) Tar 18/12/2016Askofu mkuu wa Afrika Askofu Bwambale Wilson, Alielezea kuhusu Utaratibu  Utakao  Endelea ni Kwamba Ujenzi wa Miradi Ya Ujenzi wa  Makanisa, Viwanda,Shule na Hospitali Utaanza pale Taratibu za kisheria zitakapo kamilika.  
Share on Google Plus

About Agapewuema

4 comments:

  1. Ni jambo jema na la baraka. Tunasubiria kwa hamu kubwa kushiriki katika ujenzi wa miradi mbalimbali.
    Mungu aendelee kuilinda Agape, viongozi wote na wale wenye nia ya dhati ya kutumika pamoja na Agape.

    ReplyDelete
  2. ni wakati wa mabadiliko katika nchi na dunia kwa ujumla Mungu alifanikishe hili kwa utukufu wake. Mungu awatete viongozi wote wa agape mfanikishe yale mliyodhamiria kuyafanya

    ReplyDelete
  3. Utaratibu unaotumika katika uibuaji Miradi na ushirikishwaji wa jamii katika utekelezaji wa Miradi ukoje? Ahsante sana

    ReplyDelete
  4. Habari za majukumu ya kuinjilisha neno la MUNGU, napenda kujua ule mpango wa kutupatia ajira ya ulinzi umefikia wapi?

    ReplyDelete