waziri wa mambo ya ndani wa tanzania afungua kikao cha viongozi agape church


waziri mwigulu nchemba
Waziri wa mambo ya ndani Mh Mwigulu Nchemba,amefanya ufunguzi wa semina elekezi ya viongozi wakuu wa kanisa la Agape wuema  sanctuary minstry international tanzania ltd,lilipo jijini Arusha.

kanisa hilo lenye makao yake makuu jijini Arushha lilipokea ugeni wa Waziri Mwigulu  jana tarehe 5july 2016 katika semina elekezi ya viongozi wa kanisa hilo kitaifa,

Nchemba alisema kuwa kanisa kila dini inaruhusiwa kumwabudu mungu ili kujiandaa na safari ya mbinguni.


waziri mwigulu amewashukuru waumini wa kanisa hilo kwa maombi yao juu ya uchaguzi mkuu wa tanzania uliofanyika october25 mwakajana 2015 kwani uchaguzi ulikua wa amani na utulivu.





viongozi wa kanisa la agape wakiwa ndani ya semina elekezi




Arch Bishop Willison Martin Gwila







Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment