Ofisi za makao makuu ya kanisa la agape wuema sanctuary ministry international tanzania ltd.

picha ya upande wa kulia ni arch Bishop Tanzania martin Willison Gwila akiwa hofisini
   Ofisi za makao makuu ya kanisa la agape wuema sanctuary ministry international tanzania ltd. zinahudumia watu wote wenye mahitaji ya kiuchumi na kijamii siku zote za wiki.
Ofisi ipo Jijini Arusha karibu na meserani nationaly park upande wa kulia wa barabara inayotoka Arusha mjini kwenda mikoa ya magharibi kama singida dodoma na mwanza. ukifika kituo kidogo "meserani nationaly park"  cha magari yaendao mikoani  uliza ofisi za agape uta oneshwa au unaweza pata maelekezo zaidi kwa.........

mawasiliano hapo juu


Askophu akiwa anakagua majina ya watahiniwa walio fanyiwa usaili wa uhasibu.kutunza store na kusimamia, kazi za ujenzi wa makanisa,nyumba za wachungaji ,viwanda,shule na hospitali. Taree 24 june 2016 Ofisini kwake


watahiniwa  wakiwa wanamwomba mungu kwenye ukumbi wa usaili Jijini arusha
  













Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment